Header Ads

Breaking News
recent

Picha: Selena Gomez atoka na kinguo kinachoonesha kifua chake

Selena Gomez, mwenye umri wa miaka 25, Jumanne hii alionekana akiongozana na rafiki zake wa kike katika duka la Magnolia Bakery huko NYC ili kupata kidogo pipi, lakini alichokuwa amevaa juu ndicho kiliwafanya mapaparazi kuvutiwa kupiga picha. 

Na hiyo ni kwasababu Selena alionekana kutovaa sidiria katika brauzi yake inayoonesha maziwa yake kwa mbali.
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi. 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.