Mchezaji Tenesi maarufu Uingereza Dan Evans afungiwa kujihusisha na mchezo huo
Mchezaji wa tenis muingereza Dan
Evans amefungiwa kwa mwaka mmoja kujihusisha na mchezo huo baada ya
vipimo alivyochukuliwa kuonyesha kwamba anatumia Cocaine dawa
zilizokataliwa michezoni.
Mchezaji huyo namba nne kwa ubora nchini Uingereza alipimwa katika michuano ya Barcelona Open April 24, na kuonekana kutumia dawa hizo, na adhabu hii itaanza tarehe hiyo ilipogunduliwa.
Kwa maana hiyo Evans mwenye miaka 27 atarejea uwanjani April 24, 2018.
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA