Movie mpya ya Kihindi usiyotakiwa kuikosa mwezi huu ni 'Poster Boys'
Huenda wakwetu ukawa wewe ni mmoja ya watu wenye mapenzi ya dhati na filamu za Kihindi yani damudamu, kiasi kwamba ukiambiwa utaje movie tano tu za kibongo zitakupa shida, lakini uko tayari kutaja movie 20 za Kihindi, anyway hayo ni mapenzi tu...
Hapa nakusogezea mtonyo huu mpya wa filamu ya Kihindi inayotarajiwa kudondoka mwezi huu, unajua ni ya wakali gani hawa?
Hapa nakusogezea mtonyo huu mpya wa filamu ya Kihindi inayotarajiwa kudondoka mwezi huu, unajua ni ya wakali gani hawa?
Movie: Poster Boys
Walioicheza: Sunny Deol, Bobby Deol, Shreyas Talpade
Director: Shreyas Talpade
Movie hii itaachiwa 8th September, 2017
Kama ulipitwa na hii stori ya Salman Khan, icheki hapa>>>
Movie hii itaachiwa 8th September, 2017
Kama ulipitwa na hii stori ya Salman Khan, icheki hapa>>>

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA