Header Ads

Breaking News
recent

Filamu Mpya kali ya kihindi Iitwayo 'Daddy' Imechezwa na wakali kibao

Ni Sept 5 2017 tunakutana katika ukurasa wa mitonyo ya filamu kote duniani, ambapo le Asili Movie imekutana na filamu mpya ya 'DADDY'.

Daddy ni filamu mpya ya Kihindi itakayokujia kwa siku chache zijazo, ambapo ting'a hii inazungumzia makosa ya kisiasa, huku ikiwa imeandikwa na kuongozwa na mtaalamu Ashim Ahluwalia.

 Mastaa waliocheza katika filamu ya Daddy ni Arjun Rampal, ambaye pia amehusika katika kuiandika movie hii, huku akiigiza kama gangster-anayekuja kuwa mwanasiasa Arun Gawli.

Staa mwingine ni yule anayetoka maeneo ya kusini mwa India Aishwarya Rajesh akiigiza pia kama muhusika mkuu.

Filamu ya 'Daddy' inategemewa kuachiwa September 8 2017 huku trela ikiwa ilikwisha achiwa wayback.

Endelea kufuatilia dondoo kibao za KITOFAUTI duniani kupitia blog yetu ya ASILI YETU TANZANIA. Pia subscribe You Tube account yetu  kupata update kibao.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.