Header Ads

Breaking News
recent

Idadi ya watumiaji wa mtandao wa Instagram kwa sasa

Septemba 4 2017 Stori zinagonga hodi katika mtandao maarufu kwa picha duniani  Instagram, mtandao unaowaunganisha mamilioni ya watu kwa njia ya kushea picha na video pia.

Sasa kama huenda umekua ukijiuliza kuhusu idadi ya watumiaji wa mtandao wa Instagram kwa sasa basi fahamu kuwa Instagram inayomilikiwa na kampuni ya Facebook inawatumiaji milioni 700 kwa mujibu wa mtandao wa 'Tec Crunch'>>>
  • October 6, 2010 – Launch
  • February 26, 2013 – 100 million;  28 months
  • March 25, 2014 – 200 million; 13 months
  • December 10, 2014 – 300 million; 9 months
  • September 22, 2015 – 400 million; 9 months
  • June 21, 2016 – 500 million; 9 months
  • December 15, 2016 – 600 million; 6 months
  • April 26, 2017 – 700 million; 4 months
Kasi iliyonayo Instagram, huenda kwa siku za usoni mtandao huu ukajiunga na WhatsApp na Messenger iliyo na watumiaji bilioni 1.2 huku Facebook ikiwa na watumiaji bilioni 1.8.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.