Header Ads

Breaking News
recent

Mapambo mazuri ya picha za asili kwaajili ya nyumba yako

Wiki hii Asili Tv Online imetembelea Masai Market jijini Arusha na kufanikiwa kupiga stori na mtaalam Ras Peter kutoka Masai Market, yeye anajihusisha na sanaa ya uchoraji wa picha mbalimbali za asili.

Reporter wetu kutoka Arusha Stanley Lema alitaka kufahamu zaidi jinsi picha hizi zinavyoweza kutumika kama mapambo ya ndani.

Sasa chukua dakika moja kusikia nini Ras Peter amezungumza kuhusu mapambo yatakavyoweza kuibadilisha nyumba yako na kuwa tofauti>>>

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.