Header Ads

Breaking News
recent

Mwanzilishi wa Jarida maarufu la 'Playboy' Hugh Hefner afariki dunia.

Stori zilizopo hadi sasa ni kuhusu mwanzilishi na muhariri mkuu wa Jarida maarufu la 'Playboy' Hugh Hefner kufariki dunia Los Angeles, huko Holmby Hills nchini Marekani.

Inasemekana mfanyabiashara huyu amefariki Sept. 27 akiwa na umri wa miaka 91, huku akiacha utajiri wa takribani dola milioni 43, mke na watoto wanne.

Baadhi ya vitu vilivyompatia umaarufu sana Hugh aliyezaliwa  huko Chicago, Illinois mwezi April 9, 1926 — ni pale alipokuwa anamiliki jumba ambalo linasemekana katika jumba hilo alikuwa akiweza kudate na watoto wa kike hadi saba kwa pamoja.

Hadi kufikia mwaka jana 2016 jumba hilo liliuzwa dola milioni 100. Hii ni kwa mujibu wa hollywoodlife.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.