Beyonce ajigamba kwa kuonyesha 'diamond' almasi mpya
B, S na R — herufi hizi zinamaanisha nini kwa msanii huyu maarufu duniani? Watoto watatu maarufu sana duniani, je hii ndio maana yake?
Beyonce ameonekana kujigamba kwa kuonesa vitu vya almasi ambavyo vyote amededicate kwa watoto wake wote watatu, Blue Ivy, Sir na Rumi.
Beyonce, 36, ni mama watoto wa msanii wa hip hop Jay z.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA