Header Ads

Breaking News
recent

Vipodozi wakati wa ujauzito, je Kylie Jenner ataacha kuvitumia?

 Kwa stori zilizopo kwa sasa ni kuhusu staa Kylie Jenner, 20, kuwa ni mjamzito, na staa huyu amekuwa akisemekana kujihusisha na uchomaji wa sindano midomoni kwaajili ya urembo, yani vipodozi.

Sasa je endapo kweli ni mjamzito, ataendelea kutumia vipodozi vya aina hii? Hollywoodlife wamepiga stori na mtaalamu ama daktari John Layke, yeye atatupatia jibu kuhusu hili kiafya>>>
 “Hakuna utafiti wowote uliokwisha fanika na wanasayansi kuhusu mtu kuchoma sindano ya vipodozi mdomoni kwamba kuna madhara, japokuwa utumiaji wa vipodozi wakati wa ujauzito haushauriwi,” Dr. John Layke hii ni kupitia EXCLUSIVELY ya HollywoodLife 
“Japokuwa, kufanyiwa zoezi hili la kuchomwa sindano kwaajili ya midomo, lips hujakuonekana kujaa zaidi wakati wa ujauzito hata kuliko tofauti na wakati wa kabla ya ujauzito.” Dr. Layke.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.