Orodha ya wasanii wa hip hop waliotengeneza pesa nyingi zaidi
Kila mwaka jarida la Forbes hutoa takwimu ya tafiti mbalimbali ambazo wanakuwa wamefanya, sasa moja kati ya hizo ni hii ya wasanii wa muziki wa hip hop duniani walioingiza pesa nyingi kwa 2016-2017 kutokana na shughuli mbalimbali zikiwemo za muziki, biashasha na mengineyo.
P Diddy katika orodha hii ameonekana kufunika kwa kutengeneza mkwanja mrefu zaidi ya wenzake, cheki hiyo orodha hapo chini>>>
1. Diddy
2. Drake
3. JAY-Z
4. Dr. Dre
5. Chance the Rapper
6. Kendrick Lamar
7. Wiz Khalifa
8. Pitbull
9. DJ Khaled
10. Future
P Diddy katika orodha hii ameonekana kufunika kwa kutengeneza mkwanja mrefu zaidi ya wenzake, cheki hiyo orodha hapo chini>>>
1. Diddy
2. Drake
3. JAY-Z
4. Dr. Dre
5. Chance the Rapper
6. Kendrick Lamar
7. Wiz Khalifa
8. Pitbull
9. DJ Khaled
10. Future

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA