Header Ads

Breaking News
recent

Top 10 ya mastaa wa kike duniani waliotengeneza pesa nyingi

Kila mwaka jarida la Forbes hutoa takwimu ya tafiti mbalimbali ambazo wanakuwa wamefanya, sasa moja kati ya hizo ni hii ya mastaa wa kike duniani walioingiza pesa nyingi kwa 2016-2017 kutokana na shughuli mbalimbali zikiwemo za muziki, biashasha na mengineyo.

Sofia Vergara amekuwa staa wa filamu ambaye amelipwa fedha nyingi zaidi kuanzia Juni mwaka jana mpaka kufikia mwezi Juni mwaka huu.
Angalia orodha nzima ya mastaa hawa waliotengeneza pesa ndefu zaidi>>>
1. Sofia Vergara – $41.5 million
2. Kaley Cuoco – $26 million
3. (tie) Ellen Pompeo/Mindy Kaling – $13 million
5. Mariska Hargitay – $12.5 million
6. Julie Bowen – $12 million
7. Kerry Washington – $11 million
8. Priyanka Chopra – $10 million
9. Robin Wright – $9 million
10. Pauley Perrette – $8.5 million

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.