Lil Wayne akimbizwa hospitali baada ya kuugua ghafla.
Ni Sept 4. 2017 tunaamka na stori za mastaa duniani kote ambapo kwa taarifa zilizoko kwa sasa ni kuhusu msanii wa hip hop maarufu kama Lil Wayne kusemekana kukimbizwa hospitalini kutokana na ugonjwa wa kifafa ambao umekua ukimsumbua kwa kipindi kirefu sasa.
Lil Wayne hapo jana alikuwa amepangiwa kuimba kwenye tamasha huko Las Vegas lakini kwa mujibu wa chanzo hali haikuwa njema kwa msanii huyo.
Na inasemekana kwamba Lil Wayne hakuweza kuhudhuria Las Vegas katika tamasha lililokuwa lifanyike Drais Breachclub Sept. 3 yani hapo jana, hivyo ilibidi liahirishwe, kwa mujibu wa TMZ.
Lil Wayne alikimbizwa Northwestern Memorial hospital huko Chicago mapema sana hapo jana. Inasemekana alikutwa hotelini alikokuwa amefikia akiwa katika hali ambayo sinzuri, kwa mujibu wa TMZ
Vyanzo mbalimbali vimeeleza kuwa Wayne alipatwa na ugonjwa huo mara moja hotelinini na ya pili alipofikishwa hospitalini.
Nakufikia mida ya mchana timu ya msanii huyo ilijaribu kuomba atolewe hospitali ila daktari aliwashauri wasubiri kwanza hali yake itengemae.
Ulikosa kufahamu alichozungumza Jay Z kuhusu Bifu yake na wasanii? Angalia hapa>>>

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA