Faida za kuendesha baiskeli kwa afya na Uchumi wako.
Huenda ukijiuliza usafiri wa bei nafuu na rahisi sana ukaambiwa ni baskeli, lakini pamoja kuwa ni chombo cha watu wa hali ya chini duniani, kimekuwa na faida kubwa sana katika kuweka hali yetu ya kiafya katika uimara na hata uchumi.
Zipo faida nyingi kwa wanaopenda afya zao, na hii ni pale utumiapo chombo cha usafiri aina ya baiskeli
1. Kuendesha baiskeli kunasaidia kukata mafuta mwilini
kwasababu hupunguza calori nyingi mwilini.
2. Baskeli ni usafiri rahisi unaoweza kujichanga ukanunua na ukaokoa bajeti ya nauli za kilasiku uendapo katika shughuli zako.
3. Hukufanya uwe karibu na
watu na ardhi, kwamfano ukiwa njiani utasalimiana na watu mbalimbali, tofauti ilivyo gari.
4. Ukitumia baskeli hukupa nafasi ya kuona kupita sehemu ambazo kwa gari usingefika, hivyo hutumia njia fupi.
5. Kuendesha baiskeli husaidia kuimarisha misuli ya mwili.
6. Utumiaji wa baiskel huimarisha mapafu na kukuwezesha kuwa na upumuaji mzuri.
7. Kutumia baiskeli kunaimarisha mfumo
mzima wa mzunguko wa damu mwilini.
8. Kuendesha baiskel kunasaidia kukutengenezea kuona mbali kwa macho yako.
Umbali huu ni ule wa kuanzia km1 na kuendelea, endapo mtu umeamua tu kutumia baiskeli kuelekea sehemu yoyote ambayo barabara inaridhisha na hakuna msongamano wa magari na vyombo vingi vya usafiri.
9. Kutumia baiskeli kunasaidia kutengeneza marafiki
10. Baiskel inaweza kutumika kubebea mizigo ya wastani, huu ni msaada mkubwa kwa watu wa vijijini.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA