Header Ads

Breaking News
recent

Mastaa wa Series ya Kikorea ya 'Glass Mask' ni moto.

 GLASS MASK ni moja kati ya series ya Kikorea inayofanya vizuri katika sehemu mbali mbali za maonesho ya movie duniani. Huenda ukawa hujaitupia macho ila ni moja kati ya series zenye visa vitamu na vya kufundisha.
 Kwa kiasi kikubwa series hii ya kikorea imelenga kuonesha matumizi mabaya ya madaraka, dhuruma, na mapenzi.
Drama hii inahusu watoto mapacha waliolelewa na familia ambayo ndio walio muua mama na baba yao, huku mapacha hao hata wasijue kuwa ni mapacha, hivyo kuwa maaduni na pia kujikuta wakiangusha penzi kwa mwanaume mmoja ambae ni mtoto wa boss wao.

Tafuta series ya GLASS MASK ujionee mwenyewe, na kwa dondoo endelea kufuatilia hapa hapa Asili Yetu Tanzania.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.