Header Ads

Breaking News
recent

AsiliYetuTz: PICHA ZA COVER YA VIDEO YA WIMBO WA QUEEN DARLEEN "WANATETEMEKA" ITAKAYOACHIWA SOON.

Queen Darleen anatarajia kuachia video yake mpya inayoitwa WANATETEMEKA siku si nyingi, katika video hiyo Queen ameonekana akiwa na ndugu yake au mdogo wake waliozaliwa wote kwa baba mmoja Diamond Platinum. Kaa tayari kwa kichupa hicho kikali kutoka kwa Queen Darleen.


Source: DjChoka Music

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.