Katika kusherehekea siku ya wanawake duniani, Asili Yetu Tanzania inaungana nao kwa kuusikiliza wimbo huu maalum wa mtangazaji wa East Africa Radio yani Anna Peter. Wimbo unaitwa "Tunaweza". Usikilize hapo chini...
AsiliYetuTz: WANAWAKE WENGI DUNIANI WANASHEREHEKEA SIKU YAO LEO.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Saturday, March 08, 2014
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA