Header Ads

Breaking News
recent

NEW SONG: JUSTIN BIEBER - "HOLD TIGHT". (Audio).

Namzungumzia Justin Bieber, Staa mwenye umri wa miaka 19 ambaye anaachia wimbo mpya kila Jumatatu hadi hapo itakapofika mwezi Desemba, tarehe 16. Na leo ameachia pia wimbo mpya unaoitwa "Hold Tight" usikilize hapo chini.....

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.