Header Ads

Breaking News
recent

NEW MUSIC: LADY GAGA. FT. R.KELLY - "DO WHAT U WANT". (Audio)

Kwa mara nyingine ni yule mwanadada aliyechizi katika sanaa ya muziki, namzungumzia Lady Gaga amedondosha wimbo mpya aliyomshirikisha R.Kelly, wimbo unaitwa "Do What U Want" yani fanya unavyotaka.

Baadhi ya mashairi ya wimbo huo Lady Gaga ameimba maneno haya.... “You can’t stop my voice ’cause you don’t own my life/ But do what you want with my body,”

Na R.Kelly akamjibu......  “I can be the drink in your cup/ I can be the green in your blunt/ Your pusher man.” Sasa sikiliza wimbo huu hapo chini...

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.