HUYU NDIYE MSICHANA AMBAYE DIAMOND PLATNUMZ HATOMSAHAU KATIKA MAISHA YAKE.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Msanii Diamond Platnumz ameandika ujumbe huu mzito........
"Kitu ambacho siku zote siwezi kukisahau katika
harakati na siku za Maisha yangu ni jinsi dada
wa kwanza nilivyomfata na kumuomba kushoot video na mimi
akasema "Siwezi kushoot Video na Ma undergeound" Dah! Iliniuma saaana... Lakini
wewe kwa moyo mmoja bila maringo uliamua kunisaidia
na kukubali kushoot video na mimi na
hatimaye ikaniweka kwenye Ramani... dah! siku zote huwa
nakushkuru na kukuombea sana
kwa mwenyezi mungu kwani naamini wewe ni
mmoja ya watu waliofanya hadi mimi kufika hapa... MyVideo Queen Nenda Kamwambie #BestSongofTheYear2009 BestRnBSongof TheYear2009".

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA