Header Ads

Breaking News
recent

MUIGIZAJI MREMBO WA FILAMU "HALLE BERRY" AFUNGA NDOA NA MUIGIZAJI MWEZIE HUKO UFARANSA.

 Halle Berry mi muigizaji mrembo aliyefunga ndoa na mpenzi wake Olivier Martinez ambaye pia ni muigizaji kutoka Ufaransa. Berry amefunga ndoa huko Ufaransa ambapo kwa mujibu wa chanzo cha habari kimeeleza kuwa ilikuwa ni ya siri kwasababu mwanadada huyu alitaka siku ya harusi yake iwe ni ya faragha.

Halle anamiaka 46 huku mumewe Martinez ana miaka 47 huku binti yake Berry ana miaka mitano ambapo pia Berry anasadikika kuwa ni mjamzito.

 Halle Berry akiwa na mumewe Olivier Martinez

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.