PICHA: MARIAH CAREY ALIVYOUMIA BEGA LAKE NA KUKIMBIZWA HOSPITALINI.
Muimbaji maarufu na wa siku nyingi Mariah Carey akionekana kutumbuiza katika tamasha la kuchangia walioathirika katika kimbunga "Sandy" hapo jana katika jiji la New York yeye pamoja na mastaa kibao.
Kupitia mtandao wa Instagram Carey alifunguka kuwa "In spite of the pain, I wouldn't have ever missed this moment," muimbaji huyo wa ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la "#Beautiful"alimaanisha kuwa "Licha ya kuwa na maumivu, kamwe nisingeweza kukosa tukio hili".
Siku ya Jumapili ya Julai 7, Mariah Carey alipata ajali na kuumia sehemu ya bega lake wakati akigonga remix ya video ya wimbo wake wa "#Beautful" ambapo alikimbizwa hospitali huko New York. Director wa video ya wimbo huo ni mume wake "Nick Cannon".

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA