Header Ads

Breaking News
recent

KIONGOZI BORA ANAPASWA KUWA KARIBU NA WANANCHI WAKE.

Katika picha hii ya Mwalimu Julias Kambarage Nyerere na wananchi miaka ya nyuma, utatambua kwamba wakati wa uongozi wake hakukuwa na mwanya mkubwa kati ya viongozi na wananchi wa kawaida tofauti na leo ilivyo.

Kiongozi anapaswa kuheshimiwa na pia kiongozi anapaswa kuzingatia misingi ya utawala na maslahi ya wananchi kabla ya maslahi yake binafsi. Je "AZIMIO LA ARUSHA" linasemaje?

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.