Header Ads

Breaking News
recent

SIKILIZA RUDMIXX - BEENMAN, JOH MAKINI, YOUNG OMEGA NA MANBATOO - "NAKUPENDA".

Ikiwa ni mwaka mzima wa ukimya kwa Studio mix zinazojulikana kama "Rudmixx" zilizo tamba sana katika kumbi za starehe na digital player zetu.

 Pata kuenjoy weekend yako kiparty zaidi na Mix hii mpya toka kwa Defxtro ikiwa imetumika nyimbo ya "NAKUPENDA PIA" ya Mkali wa Dancehall Wyre na Alaine huku zikiskika ladha za ki-Deejay toka kwa BeeMan, JohMakini, Manbatoo na YungOmega, Hii ni kwa Enjoyment pekee na sio Biashara, All original rights remain with the respective artists representing this Musical Work of the Deejayin Art, Download HAPA and Enjoy

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.