MSANII KALA JEREMIAH AMKABIDHI TUZO MAMA MZAZI WA MAREHEMU "ALBERT MANGWAIR".
Kala Jeremiah akikabidhi tuzo yake kwa mama mzazi wa Albert Mangweha, Bi. Denisia Mangweha.
Mama
mzazi wa marehemu Albert Mangweha akiwa ameshikilia tuzo aliyopewa kwa
niaba ya mwanae, tuzo hii aliipata msanii Kala Jeremiah kwenye tuzo za
Kilimanjaro ikiwa kama tuzo ya msanii bora ya Hip -Hop 2013-14.
Source: Wazalendo 25
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA