"UCHAWI HAUTUINGII" NI VIDEO KALI YA "GENTRIEZ" INAYOFUATA SOON.
Msanii wa kizazi kipya kutoka kanda ya kaskazini Gentriez Mwakitabu
amefunguka kuhusu mkakati wake wa kuachia kichupa cha single yake mpya
ijulikanayo kama ‘Uchawi hautuingii’.
Akiongea na BK Cop Gentriez amesema katika single hiyo amewashirikisha wasanii wa kundi zima la Nako2Nako Soldiers na tayari wameanza hatua za awali za kumulika kichupa cha wimbo huo.
Rapper huyo ambae ameng’ara siku za hivi karibuni kupitia track yake ya mwanzo mwisho amesema video ya ‘uchawi hautuingii’ itamulikwa na director nisher baada ya mkali huyo kumaliza video ya G nako ‘mama yeyoo’
Hii ni video ya Gentries iliyomtambulisha na kumpa umaarufu mkubwa kwenye muziki wa kizazi kipya siku za hivi karibuni.

CHANZO NA BaabKubwa Magazine

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA