JAY Z NA MKEWE BEYONCE WASHEREKEA MIAKA MITANO YA NDOA.
Mastaa wa muziki nchini Marekani yani Jay Z na mkewe Beoyonce, wameonekana nchini Cuba wakiwa wanakula happy pamoja, ikiwa ni wakati maalum kwao kwani walikuwa wakisherekea miaka mitano ya ndoa.
Beyonce na Jay Z walifunga ndoa jijini Paris on April 4, 2008. Kwa mujibu wa mitandao ya nje, mastaa hawa hawakutaka kuzungumzia zaidi tukio hili, yani ni kwanini walichagua kwenda Cuba.
Beyonce na Jay Z walifunga ndoa jijini Paris on April 4, 2008. Kwa mujibu wa mitandao ya nje, mastaa hawa hawakutaka kuzungumzia zaidi tukio hili, yani ni kwanini walichagua kwenda Cuba.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA