Header Ads

Breaking News
recent

POWER JAMS YA EAST AFRICA RADIO, INAKULETEA "LOVERS & FRIENDS NITE".


Time ya wajanja kukutana pale Maisha Club ndo ishawadia kupata burudani kama kawis na pia tunawasapoti wabunifu wa vitaa vyetu tofauti tunavyotoka, iwe uswazi au hata ushuani.

Kama we unatengeneza Logo za T-shirt au unazibuni, tutatafuta chata kali itakayobamba zaidi kuliko zote na kuvutia mashabiki watakao kuwa wameibuka katika 'Lovers & Friends Nite'.

Kama unataka kushindanisha T-shirst yako, dondosha T-shirt yako moja yenye chata uliyobuni mwenyewe hapa katka studio zetu zilizoko mikocheni na uingie kwenye shindano rasmi.

SHARE
na washikaji zako wote kama umeikubali hii.

Halafu tuambie, unadhani ni chata ipi inasumbua hapa town kwa sasa? funguka mazee!

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.