PICHA ZA KUMBU KUMBU YA STEVEN KANUMBA - LULU AMLILIA SANA KATIKA KABULI LAKE.
![]() |
| Lulu akiweka shada huku akilia katika kaburi la marehemu Steven Kanumba. |
REST IN PEACE KANUMBA
Lulu akiwa na mama yake mzazi jana walipo tembelea kaburi la marehemu Steven Kanumba ikiwa ni mwaka mmoja toka amefariki.
Waigizaji mbalimbali kwenye kumbukumbu ya Marehemu Kanumba makaburini Kinondoni
Lulu akiwa katika picha ya pamoja na mama Kaumba mara baada ya misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu Steven Kanumba afariki.
Picha na Jestina George





No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA