Header Ads

Breaking News
recent

GIDABUDAY - MRATIBU WA SOKOINE MIN MARATHON ITAKAYOFANYIKA IJUMAA MONDULI 12/4/2013 - MSIKILIZE AKITOA MUONGOZO SAHIHI..


Mratibu wa mbio za min marathon ya kumbu kumbu ya waziri mkuu wa kwanza wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine, Bwana Wilhelm Gidabuday kupitia radio Clouds Fm ya Dar es salaam amefafanua mengi kuhusu mbio hizo.

Akizungumza na watanzania  wazalendo wa nchi hii, Gidabuday amewaomba watanzania woote kuhudhulia siku ya Ijumaa hii ya tarehe 12/4/2013 kule Monduli - Arusha mapema asubuhi ili kushiriki kumbu kumbu za hayati Edward Moringe Sokoine. Mwanaharakati huyu wa michezo amefunguka mengi zaidi... MSIKILIZE HAPA CHINI.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.