 |
| Veronica Chuwa akionekana pichani na mmoja wa wafanyakazi wa Fastjet nchini. |
Kampuni ya usafiri wa anga nchini
"Fastjet" hivi karibuni ilimtunuku mteja wao wa 75,000
Mrs Veronica Chuwa kutoka Mwanza, zawadi mbali mbali zikiwemo tiketi mbili za kusafiri kokote nchini baada ya kampuni hiyo kutimiza abilia wake
75,000 tokea kuanzishwa kwa kampuni hiyo mwezi
Novemba 2012.
 |
| Mshindi wa Fastjet Veronica Chuwa |
 |
| Veronica Chuwa akiwa ndani ya ndege na mmoja wa marubani wa Fastjet |
Tumu ya Fastjet kwa pamoja wakiwa na mshindi wao wa
75,000 Veronika Chuwa kutoka Mwanza.
Hongereni Fastjet kwa huduma nzuri ya usafiri wa anga na wa bei rahisi mnayowapatia abilia wa nchi hii.
Source:
Fastjet
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA