SINGLE MPYA YA RIHANNA "STAY" INAZUNGUMZIA MWANZO MPYA WA MAPENZI YAKE NA CHRIS BROWN.
Mwanadada Rihanna amefunguka kuhusu single yake mpya inayokwenda kwa jina la "Stay" ambayo amesema itaelezea mwanzo mpya wa mahusiano yao ya karibu sana ya kimapenzi yatakayodumu milele na boyfriend wake Chris Brown.
Rihanna amesema "Wakati mwingine huwezi kuwa na hisia za kimapenzi na kila mtu, lakini siku ukimpata basi hutamruhusu akuache. Naweka wazi kuwa mtu huyo ni Chris Brown ambaye ndiye ninayemzungumzia.
"Staa huyu wa ngoma ya Diamond aliendelea kufunguka kuwa" sasa sisi tumekuwa watu wazima, tunahitaji kufanya hivo, tumeanza mwanzo mpya wa mahusiano yetu mimi na Chris Brown, mahusiano yasiyovunjika tena."
"Labda nitapata mtoto sasa. And I’m praying I can go on vacation for a good month. And I’ll have set some things up so I don’t have to tour for the rest of my life, even though I love touring. I want health and happiness in five years. I want to be healthy and happy.’

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA