MATOKEO YA UCHAGUZI KENYA KUTOLEWA BAADA YA MASAA 48 BAADA YA UCHAGUZI KUMALIZIKA.
Kwa mujibu wa radio Clouds Fm leo asubuhi wakati ikifanya mahojiano na ripota wao aliyeko huko kenya, ameleza kuwa kutokana na tecknologia inayotumika katika upigaji kura nchini kenya, basi watajitahidi ili baada ya masaa 48 baada ya zoezi la upigaji kura kumalizika wawe wametangaza matokeo ya uchaguzi.
Hii leo wakenya wanapiga kura katika uchaguzi wa kihistoria chini ya katiba mpya. Foleni tayari zimeanza kushuhudiwa katika vituo.
Kinyang'anyiro ni kikali kati ya Muungano wa Cord na Jubilee wa Raila Odinga na Uhuru Kenyatta.
Kwenye ukurasa huu tutakupasha matukio kila yanapojiri hadi upigaji kura utakapokamilika mwendo wa saa kumi na moja jioni.
Kwa mengi zaidi tembelea BBC.
Hii leo wakenya wanapiga kura katika uchaguzi wa kihistoria chini ya katiba mpya. Foleni tayari zimeanza kushuhudiwa katika vituo.
Kwenye ukurasa huu tutakupasha matukio kila yanapojiri hadi upigaji kura utakapokamilika mwendo wa saa kumi na moja jioni.
Kwa mengi zaidi tembelea BBC.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA