Header Ads

Breaking News
recent

PICHA ZA KILIMANJARO MARATHON 2013 (MOSHI)

Kocha wa Taifa Stars mara baada ya kumaliza mbio za Kilimanjaro Marathon katika uwanja wa Ushirika (Moshi) akiwa amepanga mstari wa wanariadha waliokuwa wakimaliza mbio.

Nimevutiwa na washiriki wengi walioshiriki ambao sio mabingwa wa liadha bali wamepima uwezo wao wa kiafya.
Victor Machota nikifuatilia kwa karibu mambo yote yaliyokuwa yakiendelea katika Kilimanjaro Marathon 2013, mengi niliyaona, nilizungumza na baadhi ya washindi wa mbio hizo kutoka Tanzania na Kenya pia.

Natumai utapenda kujua nini walichokisema washindi hao, pia Ommy Dimpoz na TMK Wanaume + Bi Cheka... fuatilia blog www.victormachota.blogspot.com hii utasikia sauti zao mmoja mmoja mwanzo mwisho.

Washiriki wa Kimanjaro Marathon 2013 wakiwa kwenye mstari mara baada ya kumaliza mbio hizo ambazo kwa wanariadha wengine walikuwa bado wanawasili.



Jamaa huyu huenda ukafikiri ni mpita njia tu, lakini sio hivyo huyu ni mmojawapo wa washiriki wa riadha ya Kilimanjaro Marathon 2013. Nilivutiwa na washiriki wengi ambao sikutegemea kama nao wangeshiriki, ni wito kwa kila mwenye uwezo kushiriki mashindano haya..... oooh!! I did'nt know about it!!!!!

Wageni pia walipata nafasi ya kushiriki na watanzania wengi katika mbio hizi za Kilimanjaro Marathon.

Kikundi hiki mara ya baada ya ASILI YETU TANZANIA BLOG NA WAZALENDO 25 BLOG kukanyaka Moshi ndicho tulichokutana nacho kikitumbuiza  na kuwapa matumaini washiriki wa Kilimanjaro Marathon 2013.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.