Header Ads

Breaking News
recent

PICHA: JCB, BEN POL NA CHABA - WAINGIZA VOCAL NDANI YA NOIZ MEKAH ARUSHA.

Msanii JCB kutoka Watengwa akiwa na msanii Ben Pol pamoja na Msanii Chaba wakiwa ndani ya studio ya Noiz Mekah Arusha ikiwa ni mara baada ya kuingiza sauti katika ngoma moja, ambayo mashabiki wataisikia hivi karibuni.

Asili Yetu Tanzania blog ikishirikiana na Wazalendo 25 blog imemtafuta msanii JCB kwanjia ya simu ili azungumzie ngoma hii, JCB alifunguka kuwa mashabiki wakae mkao wa kupata burudani mpya na soon kitanuka.

JCB (kushoto) akifuatia Chaba, Ben Pol na kulia ni producer DX mmiliki wa Noiz Mekah.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.