 |
| Clara (kushoto) akiwa na rafiki yake Mara (kulia) . |
Waigizaji maarufu nchini Uphilippino wanaokonga nyoyo za watu wengi katika tamthilia ya "Mara Clara", maarufu kama Clara na Mara, uwezi kuamini ni marafiki wa karibu wanaoshirikiana kucheza tamthilia kadha wa kadha.
 |
| Mara (kushoto) na Clara (kulia). |
Kupitia mitandao yao ya kijamii wanaonekana kuwa pamoja katika matukio mbali mbali ya yanayokuwa yakitoke huko kwao. Juzi kati ilikuwa siku ya kuzaliawa ya "Mara" ambapo kabla ya wiki moja kabla ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya "Clara".
they just both finish their last drama series. For kathryn its princess and i while for julia its "walang hanggan"...
ReplyDeletethe movie " Must be love" of kathryn with her rumored boyfriend daniel padilla was also a hit