ITV HABARI: MBUNGE WA CHAMBANI, MHE SALM H. KHAMIS AFARIKI DUNIA KATIKA HOSPITAL YA MUHIMBILI
Mbunge wa Chambani , Pemba, Mhe. Salim Hemed Khamis kupitia chama cha
wananchi CUF amefariki dunian katika hospitali ya taifa Muhimbili
ikiwa ni siku moja tangu alipokimbizwa hospitalini hapo baada ya
kuanguka ghafla wakati akiwa katika vikao vya kamati za bunge.
Source: ITV TANZANIA
Source: ITV TANZANIA
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA