Mambo vipi wadau,
Pata ngoma mpya ya chipukizi wa Swahili Sweet Raggae and Bongo Flava MARLEY.
Ngoma imefanyika pande za Dirty Mode Records na producer Triss.
Thanx kwa support yenu katika kutangaza vipaji halisi vya tanzania kupitia blogs/radio na social media zenu. Pamoja sana.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA