Header Ads

Breaking News
recent

MSANII WA MUZIKI "BEENMAN" AILALAMIKIA SERIKALI JINSI WASANII WANAVYONYANYASIKA.

Msanii Aliyeimba "Embe dodo" BeeMan mwenye maskani yake Arusha amefunguka katika FaceBook Fan page yake HAPA akilalama juu ya nyimbo za wasanii wa Tanzania kutumika katika "Caller Back Tunes" bila ya idhini yao na kuwa umoja kati ya wana sanaa umedhoofika hivyo kupelekea dhuluma za wazi wazi katika Muziki..

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.