MSANII "AY" AFAYA WIMBO NA "J MARTIN" KUTOKA NIGERIA KATIKA STUDIO YA MUZIKI YA MJ RECORDS.
Kupitia ukurasa wake wa "Facebook" Master J ameandika ujumbe huu pamoja na picha ya Ommy Dimpoz na J Martin wakiwa MJ records.
"Leo MJ Records tuko na AY. Anafanya collabo na msanii wa Nigeria J Martins. Hapa J Martins anabadilishana mawazo na Ommy Dimpoz. Sijui wanapanga nini, tusikilizie".
Joachim 'Master-j' Kimaryo
"Leo MJ Records tuko na AY. Anafanya collabo na msanii wa Nigeria J Martins. Hapa J Martins anabadilishana mawazo na Ommy Dimpoz. Sijui wanapanga nini, tusikilizie".
Joachim 'Master-j' Kimaryo

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA