"MARA CLARA" NI TAMTHILIA YA KIPHILIPINO INAYOTAMBA NA KUWAKOSHA MASHABIKI WA TAMTHILIA NCHINI KUPITIA LUNINGA YA "STAR TV".
MARA CLARA - ni Tamthilia kali iliyoteka hisia kwa wapenzi wa filamu Tanzania na kwingineko duniani.
Mara Clara ni Tamthilia ya kiphilipino inayoonyeshwa kila siku za Jumanne, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili usiku kati ya saa 3: 00 (siku za wikendi usiku) na saa 3: 30 (siku za katikati ya wiki usiku) kupitia kituo cha luninga mahili kabisa cha STAR TV.
Tamtilia hii wakati ikianza baba yake Mara alikuwa akijishughulisha na uuzaji wa madawa ya kulevya, siku binti yake Mara kuzaliwa ndipo baba yake huyo alikamatwa na kupelekwa jela. Akiwa Jela, huko hospitali kaka yake aliyekuwa akifanya kazi hapo alicheza mchezo wa siri kubwa na ndio siku hiyo Mara na Clara walikuwa wamezaliwa na Clara kuvalishwa cheni ya shingoni na mama yake ili kuwatofautisha kwasababu waliwekwa chumba kimoja.
Lakini baba yake mdogo Mara aliamua kuwabadilisha Mara na Clara walipokuwa wamelazwa, bila ya wazazi wa Clara kujua walimchukua mwanawe na kumlea kama mtoto wao bila yeye kujua.
Ilifikia wakati baba yake Mara akatoka Jela lakini aliendelea kufanya kazi na akina Lover Boy ambao walikuwa wakiuza madawa ya kulevya.
Siku moja baba yake mdogo Mara, aliamua kuwafuatilia wauzaji hao wa madawa za kulevya na kuamua kuwa ripoti polisi. Wale jamaa walipojua walimuwinda na kumuuwa, lakini kabla ya kumuua alikuwa ameandika kitabu chenye ukweli kuhusu Mara na Clara jinsi alivyowabadilisha. Hata hivyo kabla ya kifo chake alimueleza kaka yake siri kuwa, Clara ndiye binti yake halisi.
Sasa kimenuka, Clara mepima vina saba (DNA) vyake na vya baba yake Mara na kugundua kuwa ndiye baba yake wa kweli japokuwa hataki kukili, na huku nyumbani bibi yake Mara amekifunua kile kitabu alichoacha mwanae na kupigwa na butwaa!!!
Maisha ya Clara yameanza kuvurugika..... Tazama mchezo ujao.... ukishindwa nitakupatia uchambuzi wa mchezo huu mara kwa mara pamoja na maisha ya washiriki hawa nje ya tamtilia na ndani ya mchezo...
Siku chache zijazo itakuwa ni siku ya kuzaliwa ya moja kati ya nyota wa tamthilia ya "MARA CLARA" Endelea kusoma ASILI YETU TANZANIA BLOG. utaona mengi katika Birthdaya yake.
Mara Clara ni Tamthilia ya kiphilipino inayoonyeshwa kila siku za Jumanne, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili usiku kati ya saa 3: 00 (siku za wikendi usiku) na saa 3: 30 (siku za katikati ya wiki usiku) kupitia kituo cha luninga mahili kabisa cha STAR TV.
![]() |
| Kulia ni Christian kijana anayewapagawisha wasichana hawa Clara na Mara. Anayefuata kutoka ka kulia ni MARA na CLARA na mwisho ni rafiki ya Christian. |
Lakini baba yake mdogo Mara aliamua kuwabadilisha Mara na Clara walipokuwa wamelazwa, bila ya wazazi wa Clara kujua walimchukua mwanawe na kumlea kama mtoto wao bila yeye kujua.
Ilifikia wakati baba yake Mara akatoka Jela lakini aliendelea kufanya kazi na akina Lover Boy ambao walikuwa wakiuza madawa ya kulevya.
Siku moja baba yake mdogo Mara, aliamua kuwafuatilia wauzaji hao wa madawa za kulevya na kuamua kuwa ripoti polisi. Wale jamaa walipojua walimuwinda na kumuuwa, lakini kabla ya kumuua alikuwa ameandika kitabu chenye ukweli kuhusu Mara na Clara jinsi alivyowabadilisha. Hata hivyo kabla ya kifo chake alimueleza kaka yake siri kuwa, Clara ndiye binti yake halisi.
Sasa kimenuka, Clara mepima vina saba (DNA) vyake na vya baba yake Mara na kugundua kuwa ndiye baba yake wa kweli japokuwa hataki kukili, na huku nyumbani bibi yake Mara amekifunua kile kitabu alichoacha mwanae na kupigwa na butwaa!!!
Maisha ya Clara yameanza kuvurugika..... Tazama mchezo ujao.... ukishindwa nitakupatia uchambuzi wa mchezo huu mara kwa mara pamoja na maisha ya washiriki hawa nje ya tamtilia na ndani ya mchezo...
Siku chache zijazo itakuwa ni siku ya kuzaliwa ya moja kati ya nyota wa tamthilia ya "MARA CLARA" Endelea kusoma ASILI YETU TANZANIA BLOG. utaona mengi katika Birthdaya yake.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA