ITV HABARI: Wamiliki wa vyombo vya utangazaji waomba analogia iruhusiwe kwa muda.
Wamiliki wa vituo vya utangazaji nchini wameomba kuruhusiwa kwa muda
matumizi sanjari ya mfumo wa utangazaji wa analojia na digitali ili
wananchi wasio na uwezo waendelee kupata habari kupitia luninga kama
zamani.
CHANZO: ITV TANZANIA
CHANZO: ITV TANZANIA
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA