Wimbo wa video ya "Love Me Quick" ya Muigizaji maarufu wa filamu wa Nigeria anayekwenda kwa jina la Stella Damasus ni ni wimbo maalumu wa kwaajili ya filamu yake inayoitwa "Unspoken" iliyoandaliwa na yeye mwenyewe na Daniel Ademinokan.
.
LOVE ME QUICK - STELLA DAMASUS (BRAND NEW MUSIC VIDEO).
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Tuesday, March 12, 2013
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA