ITV HABARI: Polisi Zanzibar yatoa taswira ya mchoro wa muuaji wa padri Evarist Mushi.
Jeshi la polisi Zanzibar limetoa mchoro wa taswira ambayo inasadikiwa
kuwa ndiye sura ya muuaji wa padri Evarist Mushi wa kanisa katoliki
Zanzibar aliyeuwawa mwezi uliopita akiwa njiani kuelekea kanisani kwa
ajili ya kuongoza ibada.
CHANZO: ITV TANZANIA
CHANZO: ITV TANZANIA
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA