Header Ads

Breaking News
recent

WAENDESHA PIKI PIKI WACHOMA NYUMBA MKOANI MARA.

Jeshi la polisi mkoani mara limelazimika kutumia nguvu kubwa kudhibiti oparesheni ya uchomaji wa nyumba moto katika kijiji cha etaro ambayo ilikuwa ikiendeshwa na waendesha piki piki maarufu kama boda boda baada ya mwenzao mmoja kuuawa kinyama kisha kurushwa ndani ya maji.


No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.