Header Ads

Breaking News
recent

PICHA ZA HARUSI YA HARRY NA BEATRICE' ILIYO ONYESHA ISHARA KUBWA YA MWEZI WA WAPENDANAO (VALENTINE'S DAY).

 Ndoa hii iliyofanyika siku ya Jumamosi ya 2/2/2013 katika kanisa la Arusha Community lililoko mjini Arusha, mimi binafsi pamoja na blog hii tunawapongeza bwana na bibi  harusi HARRY & BEATRICE kwa kufunga pingu za maisha  na kuwa mke na mume, Mungu awabariki katika ndoa yenu siku zote za maisha yenu.
Bibi Harusi - Beatrice ni mrembo na alipendeza sasa na hapa alikuwa akiingia kanisani tayari kwa kufunga ndoa na Mr. Harry Ntuku.
A Wazazi wa Harry wakiwa kanisani, wakifuatilia tukio la kijana wao Harry akifunga ndoa.
Beautiful Sisters wa bwana harusi Harry wakiwa kanisani wakati wa kufunga ndoa.
Bwana harusi Harry akimvisha bibi harusi Beatrice pete na kuwa mume na mke.
Ulifika wakati wa bibi harusi nae kuvika bwana harusi pete.
Bwana harusi akiweka sahihi kama usha hidi wa kufunga ndoa.
Bibi harusi nae alianguka sahihi kama mumewe alivyokwisha kufanya
Eric kushoto (rafiki wa bwana harusi) akiwa na Beautiful Sisters wa bwana harusi wakati wa kutoka kanisani.
Bwana harusi akiwa tayari kumfungulia mlango wa gari kipenzi chake Beatrice.

Tayari Bibi harusi anaingia katika gari ya kifahari, kwenda ukumbini kwa sherehe.
Beautiful Sisters
Ebana mpango uliofuata bwana harusi alizunguka upande wa pili na kumuendesha mkewe mwenyewe, hakuhitaji dereva siku hiyo. Hivi ndivyo ilivyokuwa kanisani, ukumbini je? Next......

1 comment:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.