PICHA ZA HARUSI YA HARRY NA BEATRICE' ILIYO ONYESHA ISHARA KUBWA YA MWEZI WA WAPENDANAO (VALENTINE'S DAY).
![]() |
| Bibi Harusi - Beatrice ni mrembo na alipendeza sasa na hapa alikuwa akiingia kanisani tayari kwa kufunga ndoa na Mr. Harry Ntuku. |
| A Wazazi wa Harry wakiwa kanisani, wakifuatilia tukio la kijana wao Harry akifunga ndoa. |
| Beautiful Sisters wa bwana harusi Harry wakiwa kanisani wakati wa kufunga ndoa. |
| Bwana harusi Harry akimvisha bibi harusi Beatrice pete na kuwa mume na mke. |
| Ulifika wakati wa bibi harusi nae kuvika bwana harusi pete. |
| Bwana harusi akiweka sahihi kama usha hidi wa kufunga ndoa. |
| Bibi harusi nae alianguka sahihi kama mumewe alivyokwisha kufanya |
| Eric kushoto (rafiki wa bwana harusi) akiwa na Beautiful Sisters wa bwana harusi wakati wa kutoka kanisani. |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
Bwana harusi akiwa tayari kumfungulia mlango wa gari kipenzi chake Beatrice.
![]() |
| Tayari Bibi harusi anaingia katika gari ya kifahari, kwenda ukumbini kwa sherehe. |
![]() |
| Beautiful Sisters |
![]() |
| Ebana mpango uliofuata bwana harusi alizunguka upande wa pili na kumuendesha mkewe mwenyewe, hakuhitaji dereva siku hiyo. Hivi ndivyo ilivyokuwa kanisani, ukumbini je? Next...... |











Wape hongera tena
ReplyDelete