ITV HABARI: SERIKALI IMEITAKA TFF KUSITISHA ZOEZI LA UCHAGUZI WA VIONGOZI
Serikali kupitia wizara ya habari,vijana utamaduni na michezo imelitaka
shirikisho la soka nchini TFF kusitisha zoezi lao la uchaguzi wa
viongozi kutokana na kutumia katiba iliyokosa uhalali.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA