PADRE MKUU WA KANISA KATOLIKI, UINGEREZA AJIHUZULU.
![]() |
O'brien anasema atapinga vikali tuhuma dhidi yake |
Mmoja wa mapadre waandamizi wa kanisa
katoliki nchini Uingereza amejiuzulu wadhifa wake kufuatia shutma za
kwamba alikwenda kinyume na matakwa ya kipadre mapema miaka ya
themanini.
BBC imeelezwa kuwa kiongozi huyo,ameshutumiwa na mapadre watatu wa kanisa hilo na hatua hiyo ya kujiuzulu ni tukio kubwa katika mwenendo wa kanisa katoliki ikizingatiwa kuwa Kanisa hilo limekuwa kwenye shutma za ulaji rushwa na matatizo ya kiongozi kwa siku za hivi karibuni.
Inaarifiwa Padre O'Brien aliwauvinjia heshima makasisi mingo mitatu iliyopita.
Hata hivyo, mwishoni mwa wiki, alisema kuwa anapinga vikali madai hayo.
Duru zinasema kuwa hatua ya kujizulu kwa padre huyo kunaongeza shinikizo kwa makadinali wengine wanaokabiliwa na tuhuma za walivyoshughulikia kashfa za ngono.
Chanzo: BBC Swahili
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA