PICHA ZA MAZISHI YA MSANII 'GOLDIE HARVEY' ALIYEZIKWA LEO HUKO LAGOS NIGERIA.
![]() |
Humu ndimo mwili wa Goldie ulimo lazwa |
Goldie alifariki mwezi February 14 huko Nigeria ikiwa ni mara baada ya kufika Nigeria akitokea kushiriki katika sherehe za tuzo za Grammy nchini Marekani. (R.I.P)
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA