Header Ads

Breaking News
recent

FEZA - WIMBO WA "AMANI YA MOYO" - KUACHIWA HIVI KARIBUNI.

Baada ya kutambulishwa rasmi na Label ya Unity Entertainment ambayo inasimamiwa na msanii AY... Track ambayo ilikuwa inasubiriwa kutoka kwa msanii Feza Kessy sasa kutoka siku ya Jumatatu ya Tar 11.02.2013.

Track hiyo ambayo itakwenda kwa jina la Amani Ya Moyo ambayo imefanywa chini ya studio za Mpo Africa chini ya Producer Ben Mwamba na kufanyiwa mixing na producer Marco Chali. Kaa tayari kwa track hiyo

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.